Dar es Salaam. Mechi ya ufunguzi wa uwanja mpya wa Singida Black Stars baina ya timu hiyo na Yanga, imeishia katika dakika ya 57 kutokana na mvua kubwa kunyesha iliyosababisha mchezo ...
Meneja wa Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (Ruwasa) Wilaya ya Hanang, Herbet Kijazi amesema mradi huo ...
Uteuzi wa Bwana unatokana na mchakato wa kuteua viongozi uliofanyika kwa kina, ukilenga kupata kiongozi mwenye uwezo wa kuendeleza dhamira ya taasisi hiyo.
Shinyanga. Ofisa maendeleo ya jamii kutoka Manispaa ya Shinyanga, Nyanjula Kiyenze amesema jumla ya vikundi 19 vimepewa mafunzo ya matumizi na usimamizi wa mikopo ya asilimia 10 ili ...
Serikali imetoa ombi kwa watu wenye uwezo kusaidia wahitaji katika jamii, ili kuimarisha ustawi wa watoto na familia kwa ...
Dodoma. Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania (LRCT) imekabidhi ripoti ya utafiti ya Sheria ya Takwimu, lengo likiwa ni ...
Mchungaji Mono amepokewa leo Jumatatu, Machi 24,2025 katika dayosisi hiyo ya Mwanga, akitokea Shinyanga alikokuwa akihudumu.
Tanga. Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Tanga (RCC) imeidhinisha mapendekezo ya kugawa majimbo matatu ya uchaguzi ya Kilindi, ...
Dar es Salaam. Wananchi wa Ukonga wameonyesha mitazamo tofauti ya kugawanywa kwa jimbo la Ukonga ili kuwa na majimbo mawili, ...
Kwa mujibu wa Nyahoza ili msajili aweze kuchukua hatua stahiki kuhusu malalamiko hayo lazima majibu ya Chadema yawepo.
Dar es Salaam. Tanzania na Kenya huenda zikawa na tofauti katika maeneo kadhaa, ikiwa ni pamoja na siasa, biashara, michezo, ...
Siku moja baada ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kumsamehe kada wake wa zamani, Dk Wilbrod Slaa na kupokewa ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results